audio_ID stringlengths 17 83 | sentence stringlengths 5 2.57k | audio_path stringlengths 34 100 |
|---|---|---|
moment_3_vegetative_20240417_7422ce29-cdaf-4cb0-826d-8ecda4382b7c_1714120491381.wav | Angalia aina A na eleza chochote ambacho hukipendi kuhusu hiyo.hamna ambacho sikipendi kwa kweli. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7422ce29-cdaf-4cb0-826d-8ecda4382b7c_1714120491381.wav |
moment_4_reproductive_cdd48a45-c690-4583-8ee5-2d7aa8c5aebf_1716458768490.wav | Nini unapenda kuhusu aina A?A nimependa inaiva haraka inawi na hela.Kingine ambacho kimekufurahisha katika aina A tangia tumeanza jaribio letu mpaka sasa hivi ni kitu gani?Imeota sana vizuri na imestawi fresh imekuja imetoa maua mapema kabla yaa hizi ingine.Unaweza ukanipa maelezo zaidi kitu ambacho unakipenda kuhusu a... | generated_audios/moment_4_reproductive_cdd48a45-c690-4583-8ee5-2d7aa8c5aebf_1716458768490.wav |
moment_3_vegetative_20240417_e35d6c99-c978-4117-85d8-dc2a665eb4fa_1714633580934.wav | Nini unakipenda kuhusu aina C.Aina C bwanaaa imeee mbe mvua zimezidi sina nnachokipenda. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_e35d6c99-c978-4117-85d8-dc2a665eb4fa_1714633580934.wav |
moment_4_reproductive_c5dee759-0de2-4814-b32a-5333f6912f8e_1716438808094.wav | angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?.kwenye upande wa kitalu A nimependa imejitahidi sana kuzaa maharage yake yamezaa vizuri na yamesimama bila shida kwahiyo hakuna shida yeyote. | generated_audios/moment_4_reproductive_c5dee759-0de2-4814-b32a-5333f6912f8e_1716438808094.wav |
moment_3_vegetative_20240417_5d16e114-b6c7-4f7d-a5e2-afae32e1f83b_1714400493732.wav | angalia ainaa B na eleza chochote unacho kiona ambacho unakipenda kuhusu aina B. aina B nimeipenda maanaa imeota vizuri.mmm.naaa na ukuaji wake iko vizuri sana. kingine ambacho una kipenda kuhusu aina B unaweza kutueleza.aaa aaa ku ku kupandwa yenyewe imekuwa vizuri na uu kuota kwake imekuwa vizuri.kingine unaweza kue... | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_5d16e114-b6c7-4f7d-a5e2-afae32e1f83b_1714400493732.wav |
moment_4_reproductive_08387a77-fec9-4b82-b50d-7c4408efaef0_1716038125466.wav | Nini una una usichokipenda kuhusu aina B? aina A?Kwenye aina A hapa kitu ambacho sijakipenda maharage yani yameota moja moja maeneo manegine hamna.Kingine a,mbacho hujapenda kwenye hii aina A? kitu ambacho hakijakuvutia kwenye haya maharage.Kitu amabcho hakijanivutia kwenye haya maharage kwenye aina A ni uotaji wake si... | generated_audios/moment_4_reproductive_08387a77-fec9-4b82-b50d-7c4408efaef0_1716038125466.wav |
1690622936117.wav | kwa ujumla ni tricot gaini hujaipenda zaidi kuliko zote? ni tricot B aah sawa
| generated_audios/1690622936117.wav |
moment_4_reproductive_96197074-61a4-4605-8621-565699b2acf3_1715843652960.wav | Penda kuhusu aina B…....Kuhusu aina B.Mmmh.Kama nilivyokwambia.Hhh.Ni mazuriii.Mmh.Ila sasa huwa yana yanakuwa soko lake ni ndogooo.Mmmh.Mmh.Sawa. | generated_audios/moment_4_reproductive_96197074-61a4-4605-8621-565699b2acf3_1715843652960.wav |
moment_3_vegetative_6e36f1a7-8577-4ca4-a264-e1e6901b1d68_1713255883302.wav | Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuusu hiyo.Naona ambacho nimekiona kwenye aina hii ya malage kwanza uotaji unaota vizuli alafu yanakuwa alafu yametoa mauwa vizuli alafu naaa majani yake yamekuwa mapana.Ye unaeza ukaelezea kwa undani zaidi kwenye aina hii.Naona kuusu hii haya malage naona... | generated_audios/moment_3_vegetative_6e36f1a7-8577-4ca4-a264-e1e6901b1d68_1713255883302.wav |
1691148753396.wav | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara na matumizi ya chakula? Kwa aina A punje zake ni ndogondogo, kwahiyo icho kitu sikukipenda naamini hata ukiingiza sokoni watu wanaweza wakawa wasiikubali kwasabu punje zake ni ndogo, kingine? Labda kwenye matumizi ya chakula? kwenye chakula hakuna shida, haina tatiz... | generated_audios/1691148753396.wav |
moment_3_vegetative_20240417_d2516dc8-3ca7-4364-8d80-bd09551798ce_1713774071871.wav | Angalia aina C na eleza chohote unachokiona amachohupendi kusu hiyo.apa kwenye aina C ambacho sikipendi haijastawi sana pia kuna sehemu haijaota vizuli. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_d2516dc8-3ca7-4364-8d80-bd09551798ce_1713774071871.wav |
1690354550899.wav | ni kitu gani hukupenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula hili zao ni nzuri lakini wakati lilipokua linatoa maua niliona maua mengi sana yamejitokeza nikasema imeiva lakini kwenda kuangalia huku chini halina tena ile mifuko | generated_audios/1690354550899.wav |
moment_4_reproductive_c7c517c6-6cb7-44e6-a8da-cfb373e3a497_1715070528334.wav | nini usichopenda kuhusu aina A.ambacho sijapenda ni kwamba yana yana uzao wake kwa ukanda huu ni kidogo mno nikidogo mno. | generated_audios/moment_4_reproductive_c7c517c6-6cb7-44e6-a8da-cfb373e3a497_1715070528334.wav |
moment_4_reproductive_efa0935c-8c98-4c5b-88cf-df2d788fd415_1716450483354.wav | Angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?A mi nimeipenda kwa sababu ni nzuri kweli uzazi wake ni mzuri sijaona kibaya kwenye A. | generated_audios/moment_4_reproductive_efa0935c-8c98-4c5b-88cf-df2d788fd415_1716450483354.wav |
moment_4_reproductive_7052c18a-e25e-4a62-9abf-f5ae2b792cb6_1715924669727.wav | kitu gani ambacho labda hakikupendezi kwenye aina hii ya maharage ya njano?maharage haya mi yananipendeza tu.aah ok. | generated_audios/moment_4_reproductive_7052c18a-e25e-4a62-9abf-f5ae2b792cb6_1715924669727.wav |
moment_3_vegetative_20240417_7871992e-0cdd-440b-88ad-02ca2851d92b_1714549254091.wav | ...Ayaaaa nini unapenda kuhusu aina A.Aina A naipendaaa kwasababuuu inawahi yani kwenye mbegu zote nlizopanda hii ndo ya kwanza kuwahi kuanza kutoa mauwa. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7871992e-0cdd-440b-88ad-02ca2851d92b_1714549254091.wav |
1690277703145.wav | na ni kwanini umependa kuchagua B, naomba unielezee sifa za kilimo kwenye B ah nimeipendelea kwa sababu inaonekana kama vile hii sasa niliyokwisha otesha imenileteamazao mengi kidogo zaidi ya hii, lakini pia hii inastahimili ukame kwa maana hiyo sasa jua llikiwaka inauwezo wa kustahimili kwahiyo ndo maana nimependelea... | generated_audios/1690277703145.wav |
moment_3_vegetative_20240417_19280af0-fc29-4e6a-a13a-6ad00d14caed_1716096410999.wav | Angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Siipendi. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19280af0-fc29-4e6a-a13a-6ad00d14caed_1716096410999.wav |
moment_3_vegetative_20240417_d5bb4fdb-ffd9-4dee-8db3-579166d455fb_1713950536050.wav | Angalia aina A eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo. Aina A kwa kweli nikiangalia ni mbegu ambayo niliifurahia na nina uzoefu nayo sana kwa sababu aina A mimi niliwahi kupata mbegu ya Serikali ambayo kwa jina lao la kitaalamu wanaita Seriani 94 lakini aina A hio inavumilia sana ukame na pamoja na ... | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_d5bb4fdb-ffd9-4dee-8db3-579166d455fb_1713950536050.wav |
moment_3_vegetative_8b581b9a-9b02-44e2-9d49-11cafd2bdea8_1713334640400.wav | Mmmh ukiangalia aina B iii kitu gani ambacho uu ujakipenda kutoka kwenye aina ii.Aaah kwa kweli mimi ni ….Mmmm.mimi ni …..Mmm.Eeee kwaaa kwa elimu yako.Mmm.Mimi kama mimi nimelizika.Mmm.Eeee kwa elimu yako.Mmm.Eeee.Mmm saa. | generated_audios/moment_3_vegetative_8b581b9a-9b02-44e2-9d49-11cafd2bdea8_1713334640400.wav |
moment_3_vegetative_20240417_981f65d0-fa91-437f-858e-c439d4058cf4_1719216095742.wav | Nini unapenda kuhusu aina A?.Aina A napenda kwasababu labda ina kamba na ingeendelea zaidi kama ningewai kwa wakati labda ingezaa zaidi kulikooo au ingeendelea vizuri kuliko sasaiviÉ | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_981f65d0-fa91-437f-858e-c439d4058cf4_1719216095742.wav |
moment_3_vegetative_20240417_19fb3e0c-04e9-4ea0-94b3-a1fe157d4ef2_1713603081897.wav | Tunaendelea na maswali angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.hapa nnavyoangalia hakuna kitu nnacho kichukia.hakuna kabisa.hakuna. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19fb3e0c-04e9-4ea0-94b3-a1fe157d4ef2_1713603081897.wav |
moment_3_vegetative_e23281d8-f239-48d1-99c9-bb8108ad4b37_1714106074018.wav | angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hio.aina B napenda kwa sababu maharage yake yameota vizuri sana na yanashusha pia vizuri yani yako vizuri kiujumla. | generated_audios/moment_3_vegetative_e23281d8-f239-48d1-99c9-bb8108ad4b37_1714106074018.wav |
moment_4_reproductive_3dad5b75-de58-42a6-b7b5-e4cdc2b68efe_1716961227874.wav | Sasa ndugu mkulima naomba pia uiangalie iyo iyo aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hujakipenda kuhusu aina hiyo C….Aina C naipenda naipenda tena naipenda sana kwasababuuu hii hapa niii niii ni mbegu nzuri kwasababu jinsi ilivyotulia aah kwakweli haina sababu ya kusema kwamba nisiipende naipenda.Mmmh.Naipenda.... | generated_audios/moment_4_reproductive_3dad5b75-de58-42a6-b7b5-e4cdc2b68efe_1716961227874.wav |
moment_6_postharvest_fa245905-de97-4b58-ada3-140f3c183fd3_1719304060867.wav | nini unapenda kuhusu aina C.aina C vilevile ina ladha ila uivaji wakee sio sawa na aina B na sio sawa na aina A na aina B uivaji wake kidogo una chelewa. | generated_audios/moment_6_postharvest_fa245905-de97-4b58-ada3-140f3c183fd3_1719304060867.wav |
1690612697583.wav | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula Inashambuliwa na wadudu na inashindwa kuvumilia hali ya hewa | generated_audios/1690612697583.wav |
1690466341527.wav | Kwa ujumla aina gani ya tricot uliipenda zaidi? B
| generated_audios/1690466341527.wav |
moment_3_vegetative_9f565709-4ed9-4a6e-82c5-072406850812_1713513854273.wav | angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hio.naa naki nayapenda kwa sababu yana majani mapana, mh,na yana ukijani mzuri.mmh.na kingineee ni marefu tu yamerefuka vizuri eee. | generated_audios/moment_3_vegetative_9f565709-4ed9-4a6e-82c5-072406850812_1713513854273.wav |
moment_3_vegetative_abbe0f2d-df27-4bdc-98ee-404d2b00666b_1712821813062.wav | angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?kwenye maharage haya aina B kitu ambacho sikipendi katika kuipanda naona hayaoti yote ynanaota moja moja.je kunakitu kingine ambacho unakiona hupendi kuhusu aina B ?ahaa aina B kitu ambacho sikipendi kingine kwa sasa sijakiona.sawa sawa nashukuru... | generated_audios/moment_3_vegetative_abbe0f2d-df27-4bdc-98ee-404d2b00666b_1712821813062.wav |
moment_4_reproductive_9b172d2a-048d-40f0-b828-93491d16501b_1716128849027.wav | angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina C.Kuhusu aina C ambacho sipendii.mmh.inaonekana hakuna cho maharage hayavumilii kabisa hakuna kabisa yameharibika kabisa na hali ya hewa.mmh.mvuaa kwa sababu mvua imezidii.mmh.hayavumilii kabisaa yameharibika kabisa hakuna kabisa.mmh.eeh.kingine?.... | generated_audios/moment_4_reproductive_9b172d2a-048d-40f0-b828-93491d16501b_1716128849027.wav |
1690445684313.wav | kwa ujumla , aina gani ya tricot uliipenda zaidi? aina gani! eeeh, ni A, B au C? aah, shambani kwangu,? eeee B
| generated_audios/1690445684313.wav |
1690441222756.wav | Ni kitu gani ulichokipenda kuhusu aina ya tricot A kwa biashara au matumizi ya chakula sanasana biashara biashara inaweza kukufanya uipende zaidi ndio ah sawa Na umeangalia vitu gani zaidi mpaka useme kwa biashara na chakula ndio kutokana na illivvyo , yani kutokana na ilivyo inaonekana kwenye biashara inafaa la... | generated_audios/1690441222756.wav |
moment_3_vegetative_20240417_7350bb39-4cfd-43d2-9e0e-8f22e1896d01_1713958224243.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu hiyo .aah C hii mimii sio kwamba siipendi naipenda tu ila tu ni kwa ajili msimu huu tumewahi saana ndo maana imefa imekuwa hivi lakini hii ai ai haina tatizo tu yani. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7350bb39-4cfd-43d2-9e0e-8f22e1896d01_1713958224243.wav |
1690965863176.wav | kwa hiyo kwa ujumla hakuna kitu ambacho hujakipenda kuhusu A ata kwenye chakula kwenye chakula iko vizuri ata kibiashara? ata kibiashara iko vizuri
| generated_audios/1690965863176.wav |
moment_3_vegetative_c3596ea9-e168-4e4e-869b-6b0ea311e7fa_1713504635570.wav | angalia aina A alafu unieleze chochote unachokipenda kuhusu aina A.aina A?eee.naipenda kwanza inawahi kuu inastawi vizuri,mmh. inawahi kuzaa,mmh. inaa, pia kwenye biashara pia huwaa inasoko.mmmh. | generated_audios/moment_3_vegetative_c3596ea9-e168-4e4e-869b-6b0ea311e7fa_1713504635570.wav |
moment_4_reproductive_96cc8669-13ca-4680-bef1-67c81a07aff5_1716784705202.wav | angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?.hii C haina utofauti na A kule kwenye A uotaji wake umekuwa mzuri isipokuwa hauko katika hali inayotakiwa kwasababu ya mfululizo wa mvua. | generated_audios/moment_4_reproductive_96cc8669-13ca-4680-bef1-67c81a07aff5_1716784705202.wav |
moment_3_vegetative_20240417_542ad3ed-0687-456b-a50c-a3491cecf42d_1713952209744.wav | Angalia aina B na elezaa chochcote unachokiona ambacho unapenda kuhusu hiyo.eeh kundi B hapa napenda kitu kimoja ambacho miche yake imeota vizuuri kabisaa inapendeza na iko sahihi lakini kuna kitu ambacho mimi kinanipa shida kidogo . | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_542ad3ed-0687-456b-a50c-a3491cecf42d_1713952209744.wav |
moment_3_vegetative_20240417_750b9a5c-8eab-478d-9b40-f8bb6f73536b_1713944347730.wav | ni kipi unachokipenda kuhusiana na aina A?aina A nimependa tu hasa muonekano wake, muonekano unaonekana ni mzuri, na yanaonekana yameweza kuimili hali ya hewa japo mvua ni nyingi lakini muonekano yanaonekana bado yanaafya nzuri, hiyo ndo imefanya nikayapenda kwamaana yanaimili magonjwa, mvua nyingi kwahiyo yanaonekana ... | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_750b9a5c-8eab-478d-9b40-f8bb6f73536b_1713944347730.wav |
1690444528369.wav | je kuna kitu c hochote ulikipenda kuhusu kukuza aina A? aina A nikizunngumzia aina A, aina A ni kwamba mzao wake inaonesha vilevile mzao ni mwingi kwa wastani, inaonesha kwamba mzao, ikipata mvua ya kutosha inatoa maharage megi ndo sifa yake | generated_audios/1690444528369.wav |
moment_3_vegetative_20240417_7be7fc84-9dc2-4763-9e8e-2927775e5f03_1714473164524.wav | Nini usichokipenda kuhusu aina B.Aina B nikwamba kwasaabu ile mbegu haiyotiii yote kwa pamoja na nyingine haiyoti nyingine inaota kwahiyo hiyo ina itilafu kidogo nayo inaleta shida.. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7be7fc84-9dc2-4763-9e8e-2927775e5f03_1714473164524.wav |
moment_3_vegetative_20240417_7b2e3b6d-e6e6-454a-8c5c-ffc60776c305_1714464848043.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachoona ambacho hukipendi eeehnaonatu yanaingia unjano mengine yamenyaa yame kauka eeehmmh mmh yamekauka ndio kingine ambacho kimekuchukiza kwenye hii aina B.ayajaota tuu.aaaah yani hayakuota.mmmmh.una kingine.hamna.ayaa asante.mmmh. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7b2e3b6d-e6e6-454a-8c5c-ffc60776c305_1714464848043.wav |
1691217552321.wav | ni kitu gani ulichopendakuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula kwa biashara inajiuza nimeipenda kwa sababu mtu hata ukimpelekea hiyo anaona labda sawasawa na ile rozikoku anaona kama zinaenda na lakini hiyo iko kivingine labda sifa nyiingie uliyoipenda zaidi kwenye masuala ya biashara au matumizi ya nyumba... | generated_audios/1691217552321.wav |
1691142397904.wav | kwahiyo na kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula chakula iko vizuri kwasababu mwaka jana niiotesha, ila kwenye soko tu ndo ina shida hatuna uhakika kwasababu hatujawahi kuiuza
| generated_audios/1691142397904.wav |
moment_3_vegetative_20240417_b73904f6-9325-4b6b-a708-146d20a2abe7_1713419870460.wav | nini unachopenda kuhusu aina C?.maharage yangu yanaendelea vizuri tuu.yanaendelea vizuri.eee.kwahio unaonaa hali ya kuendelea kukua nii nzuri.mmh. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b73904f6-9325-4b6b-a708-146d20a2abe7_1713419870460.wav |
1690962361653.wav | Ni kitu gani haukukipenda kuhusu kukuza aina A? Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A? Kuikuza? wakati unapanda hayo maharage yako mpaka hapo umefikia umevuna, haya aina ya A ni kitu gani ambacho wewe hukukipenda? | generated_audios/1690962361653.wav |
moment_3_vegetative_20240417_36a3c2ab-dfdc-4512-abfa-afe257a8a195_1713963643011.wav | nini unachokipenda kuhusu aina B?.hakuna ninacho hakuna ambacho sikipendi. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_36a3c2ab-dfdc-4512-abfa-afe257a8a195_1713963643011.wav |
moment_3_vegetative_eefba714-f1aa-40a8-ad55-0e21693fb325_1713332435983.wav | Analia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.napenda maharage yameota vizuri na yaa yanaendelea kukua vizuri. | generated_audios/moment_3_vegetative_eefba714-f1aa-40a8-ad55-0e21693fb325_1713332435983.wav |
moment_3_vegetative_19bfb486-5a6b-4776-a5fa-b803c9d8f0b9_1714470620203.wav | angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.aina B iliotaaa ya kwanzaa lakinii ni zaifu alafuu hai yani inapukutika kwa haraka sana kwa sababu ya ukungu yani ni dhaifu. | generated_audios/moment_3_vegetative_19bfb486-5a6b-4776-a5fa-b803c9d8f0b9_1714470620203.wav |
moment_4_reproductive_4d82110b-d4a7-43fb-8c83-a566d64f1e69_1716467261962.wav | Nini usichopenda kuhusu aina C?Ni majani yake.Yana tatizo gani?Yamesha nanii leta kutu.Kuna kingine labda?Hamna. | generated_audios/moment_4_reproductive_4d82110b-d4a7-43fb-8c83-a566d64f1e69_1716467261962.wav |
moment_3_vegetative_20240417_19d2a0ab-99d5-49c1-84c1-a68d645222ec_1714820951405.wav | eenhe uk tunahamia B sasa ukiangalia B sasa unaweza kuniambia chochote unachokipenda kutoka aina B.mh aise uongo dhambi yaani kwenye B sizaani lakini kitu ambacho nilichokipenda sisijaona.mmh yaani sijapenda chochote.mmh.kiukweli. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19d2a0ab-99d5-49c1-84c1-a68d645222ec_1714820951405.wav |
moment_3_vegetative_20240417_4b6be429-493d-47d1-b957-116576fbd45d_1715594486947.wav | Nini usichopenda kuhusu aina A?Kwasababu tu yaani maua yake ukikosea tu kidogo yana yanaweza yakakukata hata mavuno.Sawa. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_4b6be429-493d-47d1-b957-116576fbd45d_1715594486947.wav |
moment_3_vegetative_20240417_d7dfbe99-5d0f-4d38-b33b-4cc2fca55b23_1714378755803.wav | angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo? aina C nimeipenda sana kwa sababu nilivyootesha imeota kwa pamoja ikakua kwa pamoja sasahivi inatoa maua karibu mengi niya aina C ambayo ni rosekoko kwahiyo hata kwa chakula nayo pia ni nzuri sana hata kwa biashara pia ni nzuri sana ndiyo.kuna... | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_d7dfbe99-5d0f-4d38-b33b-4cc2fca55b23_1714378755803.wav |
moment_3_vegetative_20240417_42d0a2bb-8f97-45ae-a6be-acc97709f244_1717997118687.wav | Na ukiangalia pia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hii .chochote ninachokiona hapa.eee ambacho hukipendi.ni kwamba ile ambayo imekauka kwenye nini kule au ni wadudu au ni nini maana ni imenyauka kama mizizi ime imeliwa kwa chini .anhaa.ila kwa sura ni nzuri .anhaa ko huja hujapenda kuwa... | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_42d0a2bb-8f97-45ae-a6be-acc97709f244_1717997118687.wav |
moment_4_reproductive_44ad2754-0ab8-4f52-9563-3b793b2b0249_1715750192064.wav | Nini uschokipenda kuhusu aina C?.Nasema hamna imetengemaa iko vizuri tu…. | generated_audios/moment_4_reproductive_44ad2754-0ab8-4f52-9563-3b793b2b0249_1715750192064.wav |
1691149706887.wav | aah nini ulipenda ulipenda kuhusu kukuza aina A kwa sifa ambazo ziko shambani mmmm A umependa sifa ggani kuhusu A kitu gani umekipenda zaidi shambani inakomaa haraka kwa shambani ndo napenda ee nyingine kwa shambani kwa shambani hiyo ndo sifa yake | generated_audios/1691149706887.wav |
moment_3_vegetative_20240417_cab67d3a-b367-4209-b16e-863cb9889f77_1713935794835.wav | nini unapenda kuhusu aina B?.navipenda kutegemeana na uotaji wake na uvumiliaji wa ukame. mmh.koo vyote navipenda.mmh.mmh.kivipi labda unaweza kueleza vizuri?.mmh napenda kutegemeana na na ukuaji wake uko vizuri.enhe.na naa kunanilia kwake kuko vizuri chini.kufanyaje?.kuu ku ku kuvumilia tu ukame wake ambao wa kwenda ... | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_cab67d3a-b367-4209-b16e-863cb9889f77_1713935794835.wav |
moment_3_vegetative_2d9e0b31-ad30-4807-9211-598a2a09f9ba_1713943159521.wav | sawa, sasa ndugu mkulima tuko kwenye aina ya BNdio ya mbegu zetu tuko kwenye kitalu B apa sawa.angalia aina hio B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hio.aah kwa aina B ya mbegu yetu hii ni nzuri.ndio.naa nimevutiwa sana kwakua inatoa kamba ndefundio. na kamba hizi huwa zinatoa mauwa na maharag... | generated_audios/moment_3_vegetative_2d9e0b31-ad30-4807-9211-598a2a09f9ba_1713943159521.wav |
1690894130029.wav | kwa ujumla ni tricot gani hukuipenda zaidi? A
| generated_audios/1690894130029.wav |
moment_4_reproductive_e04e35a1-a757-47cc-ac58-12d80d50e7b9_1716353099468.wav | angalia aina A na eleza chochote unachokiona unapenda unakipenda kuhusu hiyo?nakipenda kwasababu kimezaa japokuwa ni kidogo. | generated_audios/moment_4_reproductive_e04e35a1-a757-47cc-ac58-12d80d50e7b9_1716353099468.wav |
moment_4_reproductive_43c1d704-1f73-4cd5-9d6f-fc917d09908d_1716887984786.wav | angalia aina C pia na eleza chochote ambachoo unaona hujakipendaapa ninavyoangalia niseme ukweli kwa apaa yani apa ….. Yani napenda sana kwa sababu hiki ki aina ya C ata unavyoangalia hayajawa na njano yaharibikesawa.yako kijaniisawaa.eeh hata saivi unavyoangalia kama mvua inanyesha lakini mvua imeama muda mrefuu lakin... | generated_audios/moment_4_reproductive_43c1d704-1f73-4cd5-9d6f-fc917d09908d_1716887984786.wav |
moment_3_vegetative_20240417_683a8874-2112-474e-bc5e-418693954121_1716043919516.wav | Nini unapenda kuhusu aina A?Napenda kuhusu aina A kwamfano inakuza kidogo. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_683a8874-2112-474e-bc5e-418693954121_1716043919516.wav |
moment_3_vegetative_2d9e0b31-ad30-4807-9211-598a2a09f9ba_1713943277505.wav | sawa sasa ndugu mkulima hapa tupo kwenye kitalu C au aina C ya mbegu zetu ndioeeeh angalia hio aina C na ueleze chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.aina C nimeipenda kwakua ni mbegu nayoinayoota vizurindio.na inastawi vizuri ikiwa kwenye eneo lenye mbolea nzuri ndio.eeh ni nzuri tu haina shida lak... | generated_audios/moment_3_vegetative_2d9e0b31-ad30-4807-9211-598a2a09f9ba_1713943277505.wav |
moment_3_vegetative_20240417_bdf2397c-af01-4d88-b914-0eb43b8f2cee_1714381968959.wav | angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu aina C?aina C nimeipendelea maana imeota vizuri imenitamanisha naiko vizuri yaani hata nikiiangalia naifurahia ndo nimeipendezewa nayo.kuna chochote ambacho hukipendi kuhusu aina C?hapana | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_bdf2397c-af01-4d88-b914-0eb43b8f2cee_1714381968959.wav |
1690877769274.wav | je ni kitu gani chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina B, eleza kwenye sifa za kilimo, ulipenda nini kwenye hii tricot B, kua B ilikua na nini sifa zake labda? sifa zake ina sifa zake yenyewe! ndio ee lakini sasa ni vile mtu kwenye vitu viwili vitatu, lazima uwe umependezewa na hiyo namna, labda unaweza ukakut... | generated_audios/1690877769274.wav |
moment_4_reproductive_57effaf9-8c20-446c-bd0f-aed7f2326f84_1715762511583.wav | Angalia aina C na eleza chochcote ambacho hupendi kuhusu aina hio.aina C nacho sipendi mvua ikinyesha sana yataharibika.yataharibika. | generated_audios/moment_4_reproductive_57effaf9-8c20-446c-bd0f-aed7f2326f84_1715762511583.wav |
moment_3_vegetative_20240417_b6b19c48-2edc-453c-9ba7-4d09161e8ccd_1713684737259.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Sina. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b6b19c48-2edc-453c-9ba7-4d09161e8ccd_1713684737259.wav |
moment_3_vegetative_20240417_699bb424-1c29-457f-be3a-6cfb06ae33a4_1714222694695.wav | Ni nini unapenda kuhusu aina A?Hapa nimependa kwa sababu maharage yenyewe yanaonesha kua yana uwepesi wa kuukua kuzaa yani kuota na kukua na kuu kuzaa haraka kwahiyo katika hilo nimependa.Ni hicho tu?Eee.Asante. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_699bb424-1c29-457f-be3a-6cfb06ae33a4_1714222694695.wav |
moment_4_reproductive_725b543c-11d3-4b16-b12c-78139e941996_1717664905481.wav | Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Aina C kidogo naipenda kwa sababu inastahimili hali kidogo ambayo ni ngumu, na inavumilia. | generated_audios/moment_4_reproductive_725b543c-11d3-4b16-b12c-78139e941996_1717664905481.wav |
1690445776937.wav | Je kuna kitu chochote unafikiri tunaweza tukaibadilisha hii C iwe nzuri kwa matumizi ya biashara au chakula hii C, sasa mimi ningeibadilisha kama ni mimi iwe ya njano sasa iwe ya njano ee | generated_audios/1690445776937.wav |
1690286300338.wav | Ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula nyumbani Aina A nilichokipenda uzao wake naona utakua mzuri kulingana na nilivyoona | generated_audios/1690286300338.wav |
moment_4_reproductive_3860871c-1f3f-4661-9bcf-076985622990_1715780188747.wav | Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hio.nimeyapenda kwa sbabau yana makaka mengi na ni mazuri.ndiyo.eeeh. | generated_audios/moment_4_reproductive_3860871c-1f3f-4661-9bcf-076985622990_1715780188747.wav |
moment_4_reproductive_ca90120b-daf2-4b51-84e8-4ed9860be01b_1716791289502.wav | angalia aina B na eleza chochote unachokiana ambacho unakipendi kuhusu hiyo?naipenda kutegemeana na imebeba watoto wengi na inawahi kukomaa. | generated_audios/moment_4_reproductive_ca90120b-daf2-4b51-84e8-4ed9860be01b_1716791289502.wav |
moment_4_reproductive_c6c31d6e-2c15-4891-94d6-e0165015ee5f_1717670575801.wav | Nini unapenda kuhusu aina A?Aina A nimeyapenda maharage yabatoa maua kwa haraka pia yanaiva kwa haraka | generated_audios/moment_4_reproductive_c6c31d6e-2c15-4891-94d6-e0165015ee5f_1717670575801.wav |
moment_3_vegetative_20240417_699bb424-1c29-457f-be3a-6cfb06ae33a4_1714222779312.wav | Ni nini unapenda kuhusu aina B?Ninapenda kwa sababu maharage yenyewe yaa kwanza yana mikia yananifurahisha yako vizuri.Ni hicho tu? Mmmh yana mikia na ya pia yaa nijapo kuwa yanachelewa kidogo kutoa maua lakini yapo vizuri. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_699bb424-1c29-457f-be3a-6cfb06ae33a4_1714222779312.wav |
moment_3_vegetative_20240417_d65c7cd3-3923-4b7b-a046-c1c0aaf834c5_1714807505712.wav | nini usichopenda kuhusu aina C?.nilichokiona kwa upande wa kitalu namba C ni upande wa wadudu wanaogonga majani ndio sikuipenda bali siyo kwa kasi sana ile inayoathiri zaidi inajionyesha tu kwamba sikuipenda kwasababu yana hali ya kugongwa gongwa ambayo siku tumiaa dawa ya aina ya aina yoyote ningetumia almost inawezek... | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_d65c7cd3-3923-4b7b-a046-c1c0aaf834c5_1714807505712.wav |
moment_4_reproductive_ce3b7f50-3e8e-4f04-8fc2-49632479c762_1715672888703.wav | mmmh ukiangalia aia C pia unaweza ukanambia kitu gani ambacho unakipenda kutoka kwenye aina C .kwenye aina C na yenyewe ina zaa vizuri ila ni changamoto hiyo hiyo na yenyewe kwenye ugonjwa .mmmh.maana naona kwenye kitalu namba B C vimeshikwa kidogo na ugonjwa ee lakini havina tofauti na na A ila sema tu huo ugonjwa ee ... | generated_audios/moment_4_reproductive_ce3b7f50-3e8e-4f04-8fc2-49632479c762_1715672888703.wav |
moment_4_reproductive_c8dc1074-6bb4-442d-9926-73dc4ed721fd_1715758212166.wav | Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda?Aina B bhana hamna nilichokipenda.Kwa sababu gani?Aina B imearibiwa sana na mvua. | generated_audios/moment_4_reproductive_c8dc1074-6bb4-442d-9926-73dc4ed721fd_1715758212166.wav |
moment_3_vegetative_e51c04f5-9c4d-4ea5-ac5f-01f8d0f8dcc7_1713354199496.wav | Nini unapenda kuhusu aina A?Aina A naipenda kutokana na majani yake jinsi yalivyo alafu kuna maua maua yake yamechanua vizuri.Hasa wewe umependa nini kwenye aina hii?Kwenye A na B … Mmmh kwenye A napenda sana maua yame yako mengi sanaJe unaweza ukanambia sababu zozote za kuipenda aina hii ya mbegu?Aina hii ninaipenda ... | generated_audios/moment_3_vegetative_e51c04f5-9c4d-4ea5-ac5f-01f8d0f8dcc7_1713354199496.wav |
moment_3_vegetative_20240417_a4b8b0ea-f9e6-4e9e-bcfd-505b1576ef0d_1718085539627.wav | angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hio.hamna.hamna ambacho hukipendi.mmmh.sawa asante . | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_a4b8b0ea-f9e6-4e9e-bcfd-505b1576ef0d_1718085539627.wav |
moment_4_reproductive_267c5f07-e039-410a-8e2b-e75dacb59d92_1715859265512.wav | Nini usichopenda kuusu aina A.Yaani kuhusuuu kishamba cha aina A.Mmm.Hakuna chochote nisichokipenda katika kishamba hichi naonaa utaratibu wake.Mmm.Sio mmbaya kwaiyo nakuridhika naaa kishamba hiki cha aina A sioni sababu ya kwamba kuna chochote ambacho sikipendi ndani ya kishamba hiki.Nashkuru.Aya asante. | generated_audios/moment_4_reproductive_267c5f07-e039-410a-8e2b-e75dacb59d92_1715859265512.wav |
moment_4_reproductive_d6182628-04ff-4856-aa6b-3b76a4150ff0_1717133654551.wav | Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuusu hiyo.Aina B nimeipenda. | generated_audios/moment_4_reproductive_d6182628-04ff-4856-aa6b-3b76a4150ff0_1717133654551.wav |
moment_3_vegetative_20240417_5d16e114-b6c7-4f7d-a5e2-afae32e1f83b_1714400594333.wav | angalia aina C na eleza chochote unacho kiona ambacho una kipenda kuhusu aina C. aina maharage basii unaa yako vizuri naa kupandwa kwake vizurii kwa ujumla aina shidaa.kuna chochote unachoeza kueleza ambacho una kipenda kuusu aina C. … | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_5d16e114-b6c7-4f7d-a5e2-afae32e1f83b_1714400594333.wav |
moment_3_vegetative_20240417_c9a436b8-f2c1-4c24-b224-c619533561a7_1719230731894.wav | Nini usichopenda kuhusu aina C?.Nisichokipenda aina C ni kwamba yana yan yanaogopa ya wadudu na yalizidiwa na mafriko na matopeÉ | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_c9a436b8-f2c1-4c24-b224-c619533561a7_1719230731894.wav |
moment_4_reproductive_becbdf98-051d-4097-abf9-8d849c7e1cfe_1715679310368.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda?Katika aina C kitu ambacho nimekipenda maharage haya yamekua vizuri eeh katika ukuaji wake yamekua vizuri na yalikua yanapendeza sana kwa hicho ndio sababu ambayo imenifanya niweze kupenda hii aina C. | generated_audios/moment_4_reproductive_becbdf98-051d-4097-abf9-8d849c7e1cfe_1715679310368.wav |
moment_3_vegetative_50518876-fff6-4dc8-bb54-41fb97ab3b52_1712827651110.wav | nini husichopenda kuhusu aina B?jambo ambalo sijafurahishwa sana ni swala la uhotaji kidogo haikuwa ma mazuri, sijajua ni changamoto ya ardhi, sijajua ni hali ya tabia ya nchi, ndo jambo ambalo alikunifurahisha sana, lakini jambo lingine ni majani yake kushambuliwa kidogo na wadudu jambo ambalo sijafurahishwa sana kwen... | generated_audios/moment_3_vegetative_50518876-fff6-4dc8-bb54-41fb97ab3b52_1712827651110.wav |
moment_3_vegetative_20240417_19bd7d50-53bd-4096-b6cb-d2db728ba6c7_1713518982738.wav | Kaka naomba unielezea unachopenda kuhusiana na aina B.Aina B tangia tumepanda imeota vizuri lakini baada ya kufika hatua fulani hatua kidogo ikasogeasogea haikunirizisha eeh majani yake sio nzuri na haujamwaga maua yake vizuri.Anhaa. Sasa nilikuwa nataka kufahamu unachokipenda kuhusiana na hii aina kipi kimekupendeza k... | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19bd7d50-53bd-4096-b6cb-d2db728ba6c7_1713518982738.wav |
moment_4_reproductive_4163ffdb-2d43-4052-ace9-d5884a86949c_1716353507909.wav | angalia C na eleza chochote ambacho unakiona unakipenda kuhusu hiyo?katika hii hi kitalu kitalu C nimefurahishwa naa uzaaji wake lakini pia uwepesi wake wa ku wa kukomaa upesi.sawa.nimefurahishwa. | generated_audios/moment_4_reproductive_4163ffdb-2d43-4052-ace9-d5884a86949c_1716353507909.wav |
1690286130431.wav | je kuna kitu chochote ulipenda kuhusu kukuza aina ya B ukuzaji wa B napenda kwa sababu kwa upande wa kuuza inavuta wateja kwa sababu inashiba, inakua manene | generated_audios/1690286130431.wav |
1690440936876.wav | kwa ujumla ni aina gani ya tricot ambayo umeipenda au nni aina gani ya majaribio ambayo umeyapenda katika hizo mbegu ni A
| generated_audios/1690440936876.wav |
moment_3_vegetative_1885f6d1-5725-4ab8-9260-71df99632259_1712821831843.wav | angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho upendi kuhusu aina hiyo?nayapenda sijaona kitu ambacho sipendi hayana shida.ukiyaangalia hanh nini ambacho labda unaona kwamba hiki labda ndo kinaweza kitu ambacho enyewe yanakuwa tofauti na mengine labda au ndo tabia ambayo hujaipena?sijaona tabia ambayo sijaipend... | generated_audios/moment_3_vegetative_1885f6d1-5725-4ab8-9260-71df99632259_1712821831843.wav |
moment_3_vegetative_20240417_b73904f6-9325-4b6b-a708-146d20a2abe7_1713419753353.wav | nini usichopenda kuhusu aina A.Mvua bado inaendelea kunyeshaa. ndioo.kanaharibika maharage.kanaharibika?.eee.kanaharibikaje.mvua.na mvua?.eee.yanaharibika kivipi?.yanakua ya njano.yanakua ya njano.eee. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b73904f6-9325-4b6b-a708-146d20a2abe7_1713419753353.wav |
moment_4_reproductive_97020161-50b8-4ef8-baab-f262d20172de_1716869658683.wav | Nini usichokipenda kuusu aina C.Aina C nayo pia nimeipenda ipo vizuli. | generated_audios/moment_4_reproductive_97020161-50b8-4ef8-baab-f262d20172de_1716869658683.wav |
moment_3_vegetative_20240417_b444dfcd-e1db-4f57-986d-2ee011fc5b8c_1719240731136.wav | Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Aina A ninaipenda kwasababuuu wa imeota vizuri kwa asilimia tisini labda na tisa yotee imeota vizuriÉ. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b444dfcd-e1db-4f57-986d-2ee011fc5b8c_1719240731136.wav |
moment_3_vegetative_e9c7c7bb-fb2f-456e-ad65-e60813ba84b9_1712848627827.wav | nini unapenda kuhusu aina A?ninachokipenda kwenye aina A inatoa maua kwa wakati na maua yake pia ni mengi. | generated_audios/moment_3_vegetative_e9c7c7bb-fb2f-456e-ad65-e60813ba84b9_1712848627827.wav |
moment_6_postharvest_8d9518ed-dcea-4aa2-9818-72fac61c9733_1719314348022.wav | nini usichopenda kuhusu aina B.hakuna nisicho kipenda. | generated_audios/moment_6_postharvest_8d9518ed-dcea-4aa2-9818-72fac61c9733_1719314348022.wav |
moment_4_reproductive_73383b0c-06b7-4205-81be-f386cba4e7c1_1716377027000.wav | nini unapenda kuhusu aina A?.aina A naona imezaa imezaa kuliko aina A imezaa. | generated_audios/moment_4_reproductive_73383b0c-06b7-4205-81be-f386cba4e7c1_1716377027000.wav |
moment_3_vegetative_20240417_19280af0-fc29-4e6a-a13a-6ad00d14caed_1716096523366.wav | Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.Siipendi kwasababu imeota mojamoja na hiyo mojamoja ikatoa majani ya kukauka. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19280af0-fc29-4e6a-a13a-6ad00d14caed_1716096523366.wav |
moment_4_reproductive_725b543c-11d3-4b16-b12c-78139e941996_1717664858603.wav | Angalia aina B na ellezea chochote ambacho hupendi kuhusu hiyo.Aina B kitu ambacho sipendi kidogo haiwezi kustahimili hali mbaya ya hewa.Una maana gani?Ninamaana kwamba haistahimili vizuri.Asante. | generated_audios/moment_4_reproductive_725b543c-11d3-4b16-b12c-78139e941996_1717664858603.wav |
1690874393340.wav | inazaaa sana na hata kukua inakua vizuri sawa kwahiyo ni kuzaa sana na kukua vizuri mmmmm sawa inavumilia baridi sawa
| generated_audios/1690874393340.wav |
moment_3_vegetative_2139361b-aa8d-4df2-a76e-a5b7caaf55ac_1713936035259.wav | ndio ndugu mkulima angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu aina hio.hii apa nimeipenda.ndio.nzuri kabisa inapendeza.vipi kwenye uotaji imeota vizurii ….uotaji umeota vizuri lakini changamoto yake kidogo yani vijani vinajikunja kunja lakini sio sana.sawa.eeh. | generated_audios/moment_3_vegetative_2139361b-aa8d-4df2-a76e-a5b7caaf55ac_1713936035259.wav |
End of preview. Expand in Data Studio
- Downloads last month
- 4